Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali
HII
mpya! Kuna madai kwamba, kaburi la aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali lililopo Makaburi ya Gate
of Haeven (Geti la Mbinguni) Eneo Na. 6, Ploti Na. 241, Safu Na. 17 huko
Maryland nchini Marekani lipo mbioni kufukuliwa ili kuwezesha vipimo
vya vinasaba (DNA) kutumika kwa lengo la kubaini ukweli wa kifo chake,
Ijumaa limeelezwa.
No comments:
Post a Comment