JANGILI MWINGINE MAARUFU AKAMATWA ALIKUWA ANASAKWA MUDA MREFU
Jangili
hatari wa Pembe za Ndovu Boniface Miango maarufu kama 'shetani'
akamatwa Jijini Dar, baada ya msako wa takribani mwaka mmoja.
-Anahusika na mauaji ya Tembo wengi waliouawa miaka ya nyuma
Zaidi, Soma => BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment