29 September 2015

NAPE AMSHAMBULIA LOWASSA,ASEMA NI FISADI NA HAKUNA KAZI ALIOFANYA BILA KUIBA

 
Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye ametumia dakika takribani 10 kumshambulia mgombea urais kwa kiketi ya Chadema, Edward Lowassa aliyewahi kuwa kada wa chama hicho.
Nape alirusha makombora yake kwa Lowassa jana alipopewa nafasi ya kumnadi mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli katika viwanja vya Samora, mjini Iringa. 


BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname