25 September 2015

MTIKILA AMPA MAKAVU LOWASSA.....ASEMA NI MGONJWA NA TAPELI. ADAI WATANZANIA WANAUGONJWA WA UNYANI NA VIONGOZI WA CHADEMA NI WAVUTA BANGI


Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila ,leo asubuhi alikuwa Live Star Tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi ambapo ameongelea mambo mbalimbali kama;
Dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu 
Umuhimu wa afya bora kwa wagombea uraisi 
Ahadi za CCM na CHADEMA Kutoa elimu ya bure 
Mapungufu Ya Edward Lowassa. 
Tafiti zilizofanywa na SYNOVATE pamoja na TWAWEZA juu ya nani ana nafasi ya kushinda uraisi  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname