DR .SLAA APONGEZWA,AKINGIWA KIFUA
ALIYEKUWA
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amepongezwa kwa hotuba yake
mbele ya waandishi wa habari juzi Dar es Salaam huku wanaomshambulia
wakitakiwa waache na kama hawatafanya hivyo basi watajitokeza watu na
kumsemea. Katika hotuba yake aliyoitoa juzi hadharani kwa mara ya kwanza
tangu atoweke Julai 28, mwaka huu baada ya Lowassa kukaribishwa ndani
ya Chadema na baadaye katika umoja wa vyama vinne (Ukawa), Dk Slaa
aliishukia Chadema kwa kumkaribisha ‘kiholela’ Lowassa akisema si
mwanasiasa safi kimaadili.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment