Mwimbaji
wa muziki wa Injili nchini, Emmanuel Mbasha. MWIMBAJI wa muziki wa
Injili nchini, Emmanuel Mbasha ameshinda kesi yake ya ubakaji iliyokuwa
ikimkabili, aliyotuhumiwa kumfanyia kitendo hicho msichana aliyekuwa
akiwasaidia kazi za ndani ya nyumba yake na aliyekuwa mkewe, Flora
Mbasha.Emmanuel Mbasha alidaiwa kufanya kitendo hicho mara mbili kwa
msichana huyo, kitu ambacho ni kinyume cha sheria za nchi.
No comments:
Post a Comment