MRITHI wa DK. SLAA CHADEMA Huyu Hapa...Je, Unadhani Ana Uwezo wa Kuvivaa Viatu vya Dokta na Vikamtosha?! #TETESI
#TETESI
Zipo taarifa kwamba Lowassa amependekeza nafasi ya Dr.Slaa kama katibu
mkuu wa chadema ijazwe na aliyekua mwenyekiti wa ccm mkoa wa Singida
comrade Mgana Msindai (pichani).
No comments:
Post a Comment