Mama Diamond Platnumz Amfunika Zari kwa Mbizi Kwenye Bwawa la Kuogelea
MAMA’KE
Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameonesha umahiri mkubwa
wa kuogelea kiasi cha kumfunika mkwe wake, Zarinah Hassan ‘Zari The
Boss Lady’ kwenye bwawa la kuogelea lililopo nyumbani kwa Diamond,
Tegeta-Mivumoni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment