23 August 2015

Dr. Slaa: Sijatoa tamko lolote, Sitokuwepo Jangwani Kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM


Baada ya kuwepo 'TAMKO' jana ambalo lilidaiwa kutolewa na Dr. Slaa, na baadae kuibuka mijadala mingi kuwa Dr. Slaa atakuwepo kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM viwanja vya Jangwani; JamiiForums iliamua kumtafuta Dr. Slaa na ametoa tamko hili:
Ndugu zangu Watanzania, na wale wote wenye mapenzi mema na Taifa letu,
Naamini nyote mko salama salimini.
Wengi mtafahamu kuwa siku za karibuni kumekuwa na upotoshwaji mwingi na hasa utoaji wa kinachoitwa " Taarifa" kwa jina langu. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname