17 July 2015

WAKENYA KUMPOKEA OBAMA WAKIWA UCHI WA MNYAMA

 
Kundi la Wakenya, limejiapiza kumkaribisha rais wa Marekani, Barack Obama, nchini kwao wakiwa hawajavaa nguo ili kuonesha kuwa hawajakubaliana na kitendo cha kuruhusu mapenzi ya jinsia moja.
Obama anatarajiwa kutembelea Kenya kwa mara ya kwanza tangu kuwa rais na
kutegemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara kuanzia Julai 24-26 mwaka huu.
Kwa mujibu wa barua iliyosambazwa na kundi hilo la wakenya, imedai kuwa watafanya maandamano ya amani jijini Nairobi, Julai 22 na 23 mwaka huu kuanzia Uhuru kona.  

BONYEZA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname