Kambi ya Lowasa kwa sasa tumbo joto kutokana na mgawanyiko mkubwa uliojitokeza. Kambii hiyo imegawanyika na kuzaa timu mbili. Timu ya kwanza inaundwa na wastaafu akiwemo Apson Mwang'onda na viongozi wa CCM wa Mikoa na wilaya. Wengi wa wanaounda kundi hili ni wachovu kifedha na wanaishi kwa kutegemea Marafiki wa Lowasa.
Timu ya Pili inaundwa na Marafiki wa Lowassa ambao ndio wenye fedha. Taarifa za uhakika kutoka kambi hiyo zinasema kuwa Marafiki wa Lowasa wakiongozwa na Rostam Aziz pamoja na Mke wa Lowasa Regina Lowasa hawataki rafiki yao aende upinzani. Hoja wanazotoa ni pamoja na hizi zifuatazo;
No comments:
Post a Comment