Wema Sepetu baada ya kushindwa kura za maoni na kuambulia kura 90
dhidi ya wapinzani wake .Jana mapema Wema Sepetu aliwasili kutokea
Dodoma na kupokelewa na umati mkubwa watu na msafara hadi nyumbi kwoa
Sizna .Baada ya kufika aliweza kutoa shukrani zake na maneno yake ya
hekima, .Kilichokuja kuibuka ni kwamba ilikuwa kama anarusha dongo kwa
timu pinzani yani Team Zari na Team Daimond.
”Wanasema watanyoka watanyooka wao, sasa naomba niulize tumewanyoosha au mwanetunyoosha ? ”.
”Wanasema watanyoka watanyooka wao, sasa naomba niulize tumewanyoosha au mwanetunyoosha ? ”.
No comments:
Post a Comment