DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO NYINGINE AFRIKA KUSINI ‘AFRICAN ACHIEVERS AWARDS’.
Msani
wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers
Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda
Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.
No comments:
Post a Comment