African
Muzik Magazine awards zawakutanisha Diamond na Ali Kiba,Mchuano huo
utakuwa mkali kutokana na upinzani wa wasanii na team zao.Mwaka jana
2014 Diamond alishinda tuzo hiyo ya msanii bora wa kiume Afrika
mashariki kwa sasa yupo vipengele sita.
No comments:
Post a Comment