29 June 2015

DIAMOND PLATINUMS ATAITIWA AIRPORT KWA SAA MBILI!

Diamond Platinums  akiendelea kutoa maelekezo baada ya kuzuiwa na mizigo
KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.



BOFYA HAPA KUSHUHUDIA TUKIO ZIMA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname