29 June 2015

Ajali....Ajali.... mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Kilimanjaro

Ajali mbaya imetokea usiku huu mbele ya eneo la King'ori Mwanga mkoani Kilimanjaro (Haijafahamika mara moja kuwa kuna majeruhi wa ngapi/vifo).

Inadaiwa kuwa dereva wa gari alikuwa na mpenzi wake na walikuwa wanaendelea na mambo yao hadi dereva akajisahau na kugonga jiwe lililokuwa pembezoni mwa barabara na gari kupinduka kama linavyoonekana kwenye picha.

Kwa taarifa zaidi na maelezo ya kina tutayapata baadae au asubuhi.


Name:  ajali.jpg
Views: 0
Size:  82.2 KB

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname