Leo
tarehe 25th May msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Mirror
anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Katika siku yake ya leo ameachilia
ngoma ya Hapo Ulipo amapo imesimamiwa na Endless Fame Production.
Naye msimamizi wa kampuni hiyo Wema Sepetu ameandika haya kwenye account yake ya Instagram kwakusema BONYEZA HAPA KUONA KAULI YAKE
No comments:
Post a Comment