09 May 2015

Soudy Brown ana tetesi hizi za mastaa wawili.. Kamtaja Jokate na Ali Kiba.. #UHeard

JOKATWEE
Soudy amesema alipata tetesi za uhusiano wa mastaa wawili Bongo Fleva, wameonekana pamoja sehemu nyingi.. hajawataja majina, lakini akamtafuta Jokate.
Soudy Brown: ‘Unafahamu hata kama Ali Kiba alivamiwa? Ulimpigia simu kumpa pole?‘
Jokate: ‘Kwa nini?‘
Soudy Brown: ‘Aaaah… unauliza kwa nini tena, Ali Kiba si mchumba wako..?‘
Jokate: ‘Haaa haa haa.. Soudy hebu niache kwanza, naumwa.. unanichekesha hapa‘
Isikilize U Heard yote hapa..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname