22 May 2015

SKENDO CHAFU YA KWENDA KUJIUZA THAILAND, JACK WA MAISHA PLUS AANIKA UKWELI!


Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’. 
Ijumaa: Tulisikia unataka kuolewa, ukavishwa hadi pete ya uchumba, hili suala limeishia wapi? 
Jack: Ndoa bado ipo, hapa kati nilisafiri ndo’ mambo yakasimama lakini nimerudi, muda wowote nitawaambia lini naolewa.

Mambo vipi mpenzi msomaji wangu? Tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini uko poa.Leo tunaye mwanadada anayekwenda kwa jina la Jacqueline Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’.

Naye yuko hapa kujibu maswali 10 aliyobanwa na mwandishi wetu

Ijumaa: Inadaiwa kuna wakati ulitishia kutaka kurudisha pete, nini kilitokea? Au ulipata mpenzi mwingine mwenye nazo?
Jack: Wala siyo kwamba nilipata mpenzi mwingine, kuna mambo yalijitokeza ndiyo ikawa hivyo lakini sasa hivi hakuna shida, tuko sawa kabisa. 



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname