Umekuwa wakati wa maana sana kwenye maisha
ya mchezaji mwenye miaka 16 ‘Martin Odegaard ‘ kutoka benchi na
kuchukua nafasi ya Cristiano Ronaldo ikiwa ni mara ya kwanza anaheza
kwenye klabu ya Real Madrid
Haijulikani kama Martin Odegaard ataweza
kucheza kama Cristiano Ronaldo ila ni miongoni mwa wachezaji
wanaoaminika kuleta mabadiliko kwenye klabu hio tajiri zaidi duniani.
Kijana huyu Kutoka Norway alijiunga na
Real Madrid January kwa ada ya katikati ya dola milioni 3-4 na amecheza
kwenye mechi ya kwanza na Real Madrid huku wakishinda 7-3 dhidi ya
Getafe.
No comments:
Post a Comment