Baada ya kutajwa na jarida la Forbes kuwa miongoni mwa wasanii wa
hiphop wenye mali na matajiri zaidi Jayz na mke wake Beyonce wamehamia
kwenye jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 2.6. Jumba hilo
lipo New Orleans Garden, Marekani. Nyumba inavyumba 22.
Jay Z yupo kwenye orodha hio ya Forbes akishikilia namba tatu chini ya Diddy na Dr Dre kwa kuwa na ujaririwa dola milioni 500.
No comments:
Post a Comment