11 May 2015

Itazame hapa show ya Izzo Bizness ‘Home Sweet Home’

izzo
Baada ya kukamilisha baadhi ya show kwenye mikoa tofauti Tanzania, Izzo Bizness ameweka pamoja baadhi ya matukio kutoka kwenye tour yake na hii ni show ya Mbeya iliyofanyika April 5 2015.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname