Kikosi cha Chelsea kipo kwenye tour ya sehemu mbalimbali duniani. Walivyofika Sydney Australia kama kawaida ulifanyika press conference kwa ajili ya waandishi wa habari kupata majibu ya maswali yao.
Swali la mwandishi mmoja lilipendwa na kila mtu kutokana na majibu ya The Special One. Swali lilikua hivi “Una ujumbe wowote kwa ajili ya Arsenal Wenger baada ya kuvunja rekodi ya F.A. Cup” Mourihno akasema “ndio wameshinda”. Mwandishi akaongezea una ujumbe wowote kwenda kwake, Jose Mourihno akajibu “No, Enjoy” . Akimaanisha kwamba Wenger ai enjoy kombe lake na kuwaacha waandishi wa habari kwenye vicheko.
Lakini pia John Terry alisema kwamba bado ana miaka michache iliyobaki kubakia kwenye soka na anaamini atamaliza soka lake akiwa ndani ya Chelsea
No comments:
Post a Comment