01 May 2015

Diamond na Zari waongelea kuhusu ndoa yao mwaka huu na jinsia ya mtoto wao ajae

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha,
Pia utakumbuka kuwa Diamond tayari alishamvisha pete ya uchumba Zari so tusubiri tu hiyo harus

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname