Haijafahamika kama alikuwa ametumia kilevi
fulani kupita kiasi au ndio Amber Rose ameamua kumchana Kanye West kama
alivyofanya Kanye mapema mwaka huu kwa kusema “Alibidi aoge zaidi ya
mara 30 ili kuwa na Kim Kardashian baada ya kuwa na Amber” .
Amber Rose amedondosha bumo kuhusu muziki wa Kanye West kwenye show
ya Super Club mjini LA kwa kusema mbele za watu kuwa Kanye West
anaandikiwa muziki na Trvi$ Scott.Amber alisema “Stop playing n—-s I used to f–k. Stop. Stop. But wait, why don’t we play…hold off…why don’t we play the n—a that writes the songs for the other n–a, Travis Scott. Let’s go!”
No comments:
Post a Comment