27 April 2015

Wajue Mastaa Wakubwa Duniani Walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na Maajabu Yake

 
Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao.

Upande wa Manny Pacuaiao.

Kuna.
- Sylivester Stallone "Rambo"
- Mike Tyson
- Mohammed Ali
- Ronda Rousey (mwanadada huyu mwenye dani nne za judo, pia mcheza boxing)
- Mark Walhberg (kacheza movie za action, na pia ame bet na P didy kiasi cha Tsh 487 kwamba Pacuiano atashinda)

Upande wa Team Mayweather

Kuna.
- Justin Beiber
- Maria Carey
- P didy
- Rick Ross
- 50 Cent

Hapo nadhani mwenye akili amegundua kitu flani, na ameeona maajabu yaliyopo, haihitaji degree wala masters

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname