
Kikao cha viongozi wa UKAWA kilichofanyika katika ofisi za CUF jana kimeshindwa kufikia muafaka kutokana na kutoafikiana kwenye hoja ya chama cha NCCR-MAGEUZI kutaka kujitoa kwa sababu ya kuachiana majimbo katika uchaguzi mkuu wa wabunge kutoelewana vizuri. CUF nao wametoa masharti magumu kwa mchakato huo!
Source: MTANZANIA.
No comments:
Post a Comment