15 April 2015

HUU NDO UTAJIRI WA MCHEZAJI KARIM BENZEMA...CHEKI BAADHI YA MALI ANAZO MILIKI

6Ukiwataja Buggati Boys kwenye mambo ya soka basi huwezi kumuacha Karim Benzema mkali kutoka Real Madrid. Kama ulikua hujui ni kwama huyu jamaa ni shabiki mkubwa wa vitu vya luxury kuanzia mavazi hadi magari. Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye maisha yake ya kawaida.
1
2
3
4
5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname