30 April 2015

DIAMOND AWEKA VIDEO MATATA YA ZARI BIG BOSS LADY AKIWA KITANDANI

Diamond ana ‘characters’ nyingi ambazo huzitumia kulingana na wakati uliopo. Huamua kuwa mshari na mswahili pale anapokuwa akipeleka ujumbe muhimu kwa upande pinzani!
Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda
couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’.
Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house! 

VIDEO IKO  HAPA BOFYA KUI CHEK>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname