09 April 2015

BAADA YA KUMZALILISHA PNC,OSTADHI JUMA NA MUSOMA AFULIA VIBAYA


Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname