29 March 2015

WACHUNGAJI WAINGILIA KATI KAULI YA JIDE KUHUSU WAALIKWA KATIKA MSIBA WAKE


Mwandishi wetu
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho.


Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide. SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname