UTAJIRI MKUBWAAAA...HAYA NDIO MAISHA YA BABU WA LOLIONDO KWASASA,JIONEEEE MWENYEWE...
Hii ndio Solar Pannel ambayo Babu Ambikile anatumia kupata huduma ya umeme.
Babu Ambi akiwa amejipumzisha sebuleni kwake....katika nyumba mpya ya mafao ya Kikombez.
-
Haya ndiyo maisha ya Babu Ambikile kwasasa....baada ya kutoa dozi ya
Kikombe huko Loliondo.....sasa anakula mafao yake kiulaini-taratibu,
Babu Ambi mpaka kitambi cha kiaina kwa mbali kimemtoka.....Kikombe cha
Loliondo kina manufaa bana!
No comments:
Post a Comment