Baada ya mkali Tyga kufunguka kwamba hatoki na mwandada mwenye mika 17 tu Kylie Jenner, inaweza ikamaliza beef kati ya Amber Rose na Khloe Kaadshian inayoendelea kwenye twitter.
Akiwa
katika Breakfast Club leo, redio hiyo hiyo ambayo Amber Rose aliitumia
kumchana Kylie, ndiyo alitumia Tyga kufuta uvumi huo kwamba anamgonga
Kylie Jenner “Hapana sitoki na Tyga, nataka kuweka sawa hili kwa kila
mtu, sikuacha familia yangu ili niwe na Kylie, huo ni ujinga” alisema
Tyga.
Tyga
anasema bado hajapelekewa ishu yeyote ya kisheria kuhusu kosa lolote
alilofanya akaongeza ingawa anakuwa na Kylie pia Kendalll anakuwepo,
ingawa ameonekana mara kadhaa wakiwa peke yao sehemu fulani fulani.
Kylie Jenner ana umri wa miaka 17 ni kesi na atakwenda jela kama ni kweli atakuwa anatoka na mtoto huyo.
Tyga
pia aliongelea kuhusu ugomvi wake na Drake, akaongelea kuhusu vita kati
ya Lil Wayne na Birdman, amesema hakupata hata dola 1 kutoka Cash
Money.
Beef
inazidi kujaza bucha, Tyga ni moja ya aliyekuwa memba wa Cash Money
lakini ametoka na anatuhumu lebo hiyo kwa kumuweka nyuma na kufanya kazi
za wengine nay eye anakuwa pending tu, mshikaji akaamua asepe akacheck
mambo mengine.
No comments:
Post a Comment