25 March 2015

Ray C Ampiga Dongo la Wazi Mtangazaji Zamaradi Mketema "Players Be Like -Keep Popping Dem Kids


Baada ya Ray C Kupost Picha Hiyo Hapo Juu na Caption yake , Wadau mbali mbali wa Ray c Walitafsiri moja kwa moja kuwa ni Dongo kwa Zamaradi Mtangazaji wa Clouds Baada ya Kujulikana ana Mimba ya Mtoto wa Pili...Hii imekuja wakati ambapo siku za nyuma Ray C na Zamaradi walikuwa na Beef kwa Kumgombani Ruge Manager wa Clouds FM ....

Baadhi ya Comments

Mrekebisha Tabia:
@rayc1982 acha vijembe mpenzi.... 1. Focus kurudi kwenye muziki 2. Endelea kutumia dawa na kuwasaidia walioathirika na madawa ya kulevya 3. Acha kuuza mikorogo, ngozi yako imeharibika (huo ndio ukweli), be careful huo mkorogo usiharibu na ngozi za wengine 4. Fuatilia maisha yako! Ukifanya haya utafanikiwa na milango yako itafunguliwa.

Hongera @zamaradimketema kwa kupata mtoto mwingine wa kike....una bahati sana mdada Mungu akupe nini tena? Watoto ni baraka wa kwanza wa kiume wa pili wa kike...bahati iliyoje halafu una maisha yako unajitegemea na una kazi yako nzuri... unabarikiwa, Kwanini watu wasione wivu???

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname