Mpenzi wangu ambaye nimedumu naye kwa
mwaka mmoja leo amenitamkia kuwa hawezi kuendelea kuwa na uhusiano na
mimi, amesema ameshndwa kuvumilia kuwa na mpenz bila kufanya S3X.
Amesema hawezi kunifanya pambo awe
ananiangalia tu, lakn wakat tunaanza uhusiano alinikubalia kuwa
hatufanya S3X mpaka tukifunga ndoa lakini leo amenigeuka. Nimelia saaana
toka asubuh mpk asahv lakn naona haina maana, NAOMBEN ushaur wenu jaman
nimrudie nikubal kuS3X nae au?
Manake mpaka leo tayari nimeshaachika
kwa wanaume kama wanne yote chanzo ni S3X, sasa nitaachika mpaka lini?
Manake inavyoonyesha ni kwamba wanaume hawawezi kukaa na mwanamke bila
ku-s3x kama atakwambia yupo tayari kukaa na wewe hivyohivyo huwa
wanakuwa na wanawake wengine wa nje wanao s3x nao.
Nilishaurini jamani, nimwambie nipo tayari ku-s3x nae au niachane nae tu? Ukweli nampenda sana .
No comments:
Post a Comment