Star wa Bongo Movie Jacqueline Wolper ametuonyesha maisha yake mazuri
anayopitia muda huu akiwa na gari yake mpya. Post moja ya Wolper
inamuonyesha akiwa na gari mpya yenye rangi nyekundu ikiwa na maneno
“Being with someone who won’t give up on you” na nyingine ikisema “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Je Wolper ndio kusema amepata mwanaume anayempenda na kumtunza zaidi.
No comments:
Post a Comment