Msanii
wa Bongo Fleva, Linah akiwa amezungukwa na baadhi ya ndugu na jamaa
zake wakati akikata keki iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya sherehe ya
kuzaliwa kwake iliyofanyika ndani ya boti.
Msanii wa Hip Hop, Young Killer (kushoto), akiwa amepozi na msanii
mwenzake Edo Boy ndani ya Ukumbi wa Paparazi uliopo ndani ya Hoteli ya
Slipway.
Mwana FA (wa kwanza kushoto), akiwa katika pozi na Linah, pamoja na Andrew Kusaga.Baadhi
ya misosi iliyokuwa imeandaliwa kwenye sherehe hiyo ikiwa mezani.STAA
wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’, juzikati alifanya sherehe ya
siku yake ya kuzaliwa (bethidei) ndani ya boti iliyokuwa ndani ya maji
ya Bahari ya Hindi, jirani na eneo la Hoteli ya Slipway, Masaki jijini
Dar es Salaam.
Wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya walihudhuria sherehe hiyo iliyofana vilivyo.
No comments:
Post a Comment