23 February 2015
WEMA NA JOKATE WAMDHIHIRISHIA DIAMOND PLUTNUMZ KUWA WAO NI ZAIDI YA ZARI.
Ule usemi wa wagombanao ndio wapatanao,Umejidhirisha Leo kwa Miss Tanzania2006 namba2,Jokate Mwogelo na Miss Tanzania 2006,wema sepetu. Ilikuwa huko Instagram ambapo Wema sepetu alianika boonge la zawadi alilopewa na Jokate mwogelo na ambao
linadhihirisha kabisa kuwa hawa watu hawana Ugomvi baada ya diamond kuwabwaga na kuwa na mademu wengine akiwemo kipenzi chake kipya zari,Na zawadi yenywe ni hii hapa kwnye picha!Embu iangalie ndugu yangu.
....>
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comments system
Disqus Shortname
No comments:
Post a Comment