28 February 2015

Wawabeba Watalii Mabegani,Kama Watumwa Walivyobeba Mabwana,Huu ni Utalii au Utumwa

 
Nimeangalia sana picha hapo chini,sikuelewa,ni Utalii wa aina gani huu, kweli tunahitaji pesa lakini ndio kwa namba hii? hapana,tukiendekeza hela tutaenzi hata utumwa wa kikoloni.tazama mwenyewe labda utakuwa na mtazamo tofauti

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname