huo tena.
Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila
kupenda lakini kwa sasa atajitahidi kuona anazaa akiwa ndani ya ndoa.
“Lolote linaweza kutokea lakini kiukweli kwa sasa nitakuwa makini
kidogo na ninamuomba Mungu anisaidie mtoto wa pili nimzalie ndani ya
ndoa,” alisema Rose ambaye alizaa na Mbongo Fleva, Malick Bandawe kisha kumwagana.
Mwigizaji huyo kwa sasa ameandaa jarida lake ambalo litakuwa linatoka mtaani kila Jumatatu.
No comments:
Post a Comment