Kim k ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye
vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za
SELFIE.
Kwenye kujibu maswali machache ya mashabikki wake Kim K aliulizwa
kama angepata nafasi ya kuchagua mtu tofauti wa kupiga naye Selfie Kim
alijibu
“My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua ”
No comments:
Post a Comment