22 February 2015

KITAMBAA ALICHO JIFUNGA CHEGE MKONONI KUMUENZI MEZ B...WATU WAHISI NI HIRIZI..TAZAMA PICHA HAPA



Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza kujidhihirisha ..

No wonder Ally Kiba alipanda ukuta baada ya kuona hali ya sintofahamu ...na alikwepa kushiriki project ya Lekadutigite..mdogo wake akajifanya mbishi kwenda Kigoma Kuperform alichokipata ntawaleteeni uzi spesheli...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname