Mohamed
Matope akipokelewa kwa kiss na mke wake miss Temeke baada ya kumkabidhi
mkewe Range Rover sports ikiwa ni zawadi yake ya kutimiza miaka 13 ya
ndoa yao
Wapendendao mumewaona hao
Hongereni sana Mr and Mrs Matope Mwenyezi Mungu Akujaaliane kila la kheri kwenye maisha yenu ya ndoa
No comments:
Post a Comment