Beyonce na Jay Z wanahamia jijini Los Angeles baada ya kuishi jijini New York kwa miaka mingi, mtandao wa TMZ umedai.
Umesema Beyonce na Jay Z kwa sasa wanaishi kwenye hoteli huko Beverly Hills na wanatafuta nyumba ya kununua.
Mtandao huo pia umedai kuwa mastaa hao wamemwandikisha mtoto wao Blue
Ivy mwenye miaka mitatu kwenye shule ya chekechea ambayo ada yake ni
$15,080 kwa mwaka, sawa na zaidi ya shilingi milioni 25

No comments:
Post a Comment