Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.
Video,
picha na story kubwa mitandaoni kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka
wakati akishuka ngazi baada ya kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya
kumaliza kuhutubia alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho
halafu akawa anashuka ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi
wakamuinua na kumpeleka kwenye gari yake.
Kwenye video Mugabe anaonekana akishuka ngazi lakini hali yake ni kama mgonjwa au mtu aliechoka. Bonyeza Hapa
No comments:
Post a Comment