28 November 2014

WEMA KUHUDHURIA SHOW YA CHAMELEONE, DIAMOND KUWA MGENI WA SHOW YA ZARI, ZOTE KUFANYIKA SIKU 1

Maswali ya uhusiano wa staa wa filamu Wema Sepetu pamoja na staa wa muziki Diamond Platnumz yamezidi kuongezeka kama kweli wameachana ama laa, baada ya wote wawili kujihusisha kupigia debe show hizo mbili tofauti zinazotarajiwa kufanyika siku moja, mwezi mmoja, jiji moja lakini kumbi tofauti.

Diamond ambaye amekana kuwa hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Zari, SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname