16 November 2014

MWANAMKE AFUMANIWA GESTI AKIINGIZA WANAUME ZAIDI YA MMOJA KWA USIKU MMOJA

KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua

Maovu (OFM) wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha.

Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani.
Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono.
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi.
AFM Watonywa.

Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname