Basi
la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi
baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea
basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani
Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa hakuna mtu aliyefariki
katika ajali hiyo
No comments:
Post a Comment