14 November 2014

BALAA TASNIA YA FILAMU, PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA

Stori: Imelda Mtema

Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii,  jambo ambalo ni kinyume na maadili.
Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Dustan akioga huku akinywa.
Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.PICHA ZAIDI>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname