INASEMEKANA WATU WAMEJERUHIWA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA KONA KALI YA MKANYAGENI IKIHUSISHA GARI YA ABIRIA AINA YA COSTA ILIYOGONGANA USO KWA USO NA SCANIA SEMITRELA
KWA MUJIBU WA MASHUHUDA WA TUKIO HILO WANASEMA KATIKA AJALI HIYO COSTA IMEKATIKA KATI KWA KATI NA WATU WALIOJERUHIWA WAPO KWENYE COSTA HIYO
COSTA INAYOFANYA SAFARI ZAKE TOKA TANGA MJINI KUELEKEA LUSHOTO NA SCANIA ILIYOKUWA INATOKA MKANYAGENI,
HABARI ZINASEMA IDADI HIYO YA MAITI INAWEZA ONGEZEKA MUDA WOWOTE KWANI HALI ZA MAJERUHI NI MBAYA MNO AMBAPO CHANZO CHA AJALI KIMESEMWA KUWA NI MWENDO KASI
No comments:
Post a Comment